ST. THOMAS NYABULA SEC.
ADMISSION FORMS

Maelekezo ya kununua fomu mtandaoni

 1. Lipia TSh 10,0000/= kwenye namba ifuatayo
  0676 396 959
  0768 396 957
  Acc No: 62310012148
  Acc Name: St. Thomas Nyabula Secondary School
  Tuma pesa kutoka kwenye simu yako kwa njia ya kawaida. Usitumie wakala / benki / lipa mfanyabiashara
 2. Tutakapopokea malipo yako tutakutumia ujumbe kwenye namba uliyoitumia kufanya malipo. Ujumbe huo utakuwa na token.
 3. Bonyeza Pakua fomu. Ingiza namba ya simu uliyotumia kufanya malipo.
 4. Ingiza token tuliyokutumia kwa ujumbe mfupi
 5. Ingiza majina mawili ya mwanafunzi kwenye sehemu husika. Kuwa makini, hutaweza kubadilisha ukishahifadhi taarifa
 6. Hifadhi Taarifa
 7. Pakua fomu. Ichape na ufuate maelekezo yake.


Imetengenezwa na Kenosis Technologies