ST. Thomas Day – 2021
Uongozi wa shule ya St. Thomas Nyabula Secondary School, unapenda kuwatangazia marafiki wote wa shule. Tarehe 28-01-2021 siku ya Alhamisi ni sherehe ya msimamizi wa
shule zetu.
- ST. Thomas Nyabula Secondary School.
- ST. Thomas Nyabula Nursery School.
- ST. Thomas Negabihi Nursery School.
Tunawakaribisha wote hasa wale waliosoma hapa ili tumshukuru na kumwomba Mungu azidi kutufanikisha na kutufanikisha katika shughuli na mipango yetu kwa mwaka 2021.
Ratiba:
- Misa Saa 4:00 asubuhi.
- Chakura cha Mchana 7:00 mchana.
- Michezo Saa 10:00 hadi 12:00 jioni (Uwanjani)
- Burudani (Jioni)