|

ST. Thomas Day – 2021

Uongozi wa shule ya St. Thomas Nyabula Secondary School, unapenda kuwatangazia marafiki wote wa shule. Tarehe 28-01-2021 siku ya Alhamisi ni sherehe ya msimamizi wa

shule zetu.

  1. ST. Thomas Nyabula Secondary School.
  2. ST. Thomas Nyabula Nursery School.
  3. ST. Thomas Negabihi Nursery School.

Tunawakaribisha wote hasa wale waliosoma hapa ili tumshukuru na kumwomba Mungu azidi kutufanikisha na kutufanikisha katika shughuli na mipango yetu kwa mwaka 2021.

Ratiba:

  1. Misa Saa 4:00 asubuhi.
  2. Chakura cha Mchana 7:00 mchana.
  3. Michezo Saa 10:00 hadi 12:00 jioni (Uwanjani)
  4. Burudani (Jioni)

Similar Posts

2 Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *