Mahafali ya 11 ya kidato cha IV, Oktoba 14, 2022
Mahafali ya 11 ya kidato cha IV iliyofanyika Oktoba 14, 2022 ambapo jumla ya wahitumu wote ni 83. Shule inajivunia kuwa miongoni mwa shule bora kimkoa na imeendelea kufanya vizuri tangu kuanzishwa kwake ambapo haijawahi kufelisha mwanafunzi. Sherehe iliambata na burudani mbalaimbali na wahitimu walifurahia kuhitimu masomo yao kwa ngazi ya kidato cha IV. BOFYA…