Mahafali ya 11 ya kidato cha IV, Oktoba 14, 2022

Picha ya Pamoja ya wanafunzi wa form four 2022

Mahafali ya 11 ya kidato cha IV iliyofanyika Oktoba 14, 2022 ambapo jumla ya wahitumu wote ni 83. Shule inajivunia kuwa miongoni mwa shule bora kimkoa na imeendelea kufanya vizuri tangu kuanzishwa kwake ambapo haijawahi kufelisha mwanafunzi.

Sherehe iliambata na burudani mbalaimbali na wahitimu walifurahia kuhitimu masomo yao kwa ngazi ya kidato cha IV.

BOFYA HAPA KUTAZAMA PICHA MBALIMBALI

Sambamba na hayo, tunawatakia mtihani mwema kwenye mtihani wao wa mwisho, na mwenyezi Mungu akawaongoze ili waweze kufanya vyema na kutimiza ndoto zao.

BOFYA HAPA KUTAZAMA BAADHI YA VIDEO FUPI

Usisite kutoa maoni yako na ushauri katika kuboresha shule yetu. Unaweza andika maoni yako katika Comment Section hapa chini.

Similar Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *