Mahafali ya 12 ya kidato cha IV, August 26, 2023

Mahafali ya 12 ya kidato cha IV, August 26, 2023

DIOCESE OF IRINGA ST THOMAS NYABULA SECONDARY SCHOOL MAHAFALI YA KUMI NA MBILI YA KIDATO CHA NNE, 2023 “Wherever you go, no matter what the weather, always bring your own sunshine.” Anthony J. D’Angelo. WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE 2023 S/N JINA LA MWANAFUNZI 1 ABIAS JERMIAH BURRETA   2 ADELINA MOSES MABIKI 3 AGNESS MARCO…

Mahafali ya 11 ya kidato cha IV, Oktoba 14, 2022

Mahafali ya 11 ya kidato cha IV, Oktoba 14, 2022

Mahafali ya 11 ya kidato cha IV iliyofanyika Oktoba 14, 2022 ambapo jumla ya wahitumu wote ni 83. Shule inajivunia kuwa miongoni mwa shule bora kimkoa na imeendelea kufanya vizuri tangu kuanzishwa kwake ambapo haijawahi kufelisha mwanafunzi. Sherehe iliambata na burudani mbalaimbali na wahitimu walifurahia kuhitimu masomo yao kwa ngazi ya kidato cha IV. BOFYA…

Mahafali ya 10 ya kidato cha IV, Oktoba 30, 2021

Mahafali ya 10 ya kidato cha IV, Oktoba 30, 2021

Mahafali ya 10 ya kidato cha IV iliyofanyika Oktoba 30, 2021 ambapo mgeni rasmi alikuwa ni mbunge wa jimbo la Kalenga Mhe. Jackson Kiswaga, akimbatana na Diwani pamoja na muendesha mashtaka wa mkoa wa Iringa. Sherehe iliambata na burudani mbalaimbali na wahitimu walifurahia kuhitimu masomo yao kwa ngazi ya kidato cha IV. BOFYA HAPA KUTAZAMA…