Mahafali ya 10 ya kidato cha IV, Oktoba 30, 2021
Mahafali ya 10 ya kidato cha IV iliyofanyika Oktoba 30, 2021 ambapo mgeni rasmi alikuwa ni mbunge wa jimbo la Kalenga Mhe. Jackson Kiswaga, akimbatana na Diwani pamoja na muendesha mashtaka wa mkoa wa Iringa.
Sherehe iliambata na burudani mbalaimbali na wahitimu walifurahia kuhitimu masomo yao kwa ngazi ya kidato cha IV.
BOFYA HAPA KUTAZAMA PICHA MBALIMBALI
Sambamba na hayo, tunawatakia mtihani mwema kwenye mtihani wao wa mwisho, na mwenyezi Mungu akawaongoze ili waweze kufanya vyema na kutimiza ndoto zao.
BOFYA HAPA KUTAZAMA BAADHI YA VIDEO FUPI
Usisite kutoa maoni yako na ushauri katika kuboresha shule yetu. Unaweza andika maoni yako katika Comment Section hapa chini.