Mahafali ya 10 ya kidato cha IV, Oktoba 30, 2021

Mahafali ya 10 ya kidato cha IV, Oktoba 30, 2021

Mahafali ya 10 ya kidato cha IV iliyofanyika Oktoba 30, 2021 ambapo mgeni rasmi alikuwa ni mbunge wa jimbo la Kalenga Mhe. Jackson Kiswaga, akimbatana na Diwani pamoja na muendesha mashtaka wa mkoa wa Iringa. Sherehe iliambata na burudani mbalaimbali na wahitimu walifurahia kuhitimu masomo yao kwa ngazi ya kidato cha IV. BOFYA HAPA KUTAZAMA…